Habari za Mastaa

Nimekusogezea TBT za mastaa mbalimbali, Oprah, Kelly Rowland, Serena wamo..Pichaz

on

Kila siku ya alhamisi watu hukumbushia picha zao za zamani maarufu kama TBT  Throwback Thursaday.

Leo mtu wangu nimekusogezea TBT za wanawake mbalimbali ambao ni maarufu duniani.

opraaa

Oprah Winfrey

 

miche

Michelle Obama

 

winie

Winnie Mandela

 

kelly

Kelly Rowland

 

dadada

Serena Williums akiwa na dada yake Venus

 

vintage

Hillary Clinton akiwa na mumewe Bill

 

bey7

Beyonce akiwa na miaka 7 tu

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter,FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Tupia Comments