Maajabu

PICHA 5: Huyu ndiye Mbwa mrembo kuliko wote duniani..!!

on

Kama ilivyo ahadi yangu kwako kila siku ni kuhakikisha haupitwi na chochote ukiwa karibu yangu. Kutoka nchini Sydney nimeipata hii ya Mbwa anayetajwa kuwa ndiye Mrembo zaidi kuliko Mbwa wote duniani. Nimeamua kushea na wewe mtu wangu picha 5 za Mbwa aitwaye Tea mwenye miaka mitano.

Inaelezwa kuwa urembo wa Mbwa huyu unachangiwa zaidi na style yake ya manyoya marefu tofauti na Mbwa wengine ambao kawaida huwa na manyoya mafupi au hata kama ni marefu huwa hayazidi Sentimita 30, lakini huyu Mbwa Mrembo zaidi duniani amekua na utofauti na kujizolea umaarufu kwenye social media kama Instagram na Facebook.

Nimekuwekea hapa picha zake.

Tea has now retired

naee1

naee2

naeeeeeeeee

ULIPITWA NA TAARIFA YA WAZIRI WA V IWANDA NA BIASHARA CHARLES MWIJAGE KUHUSU MIPANGO YA KUDHIBITI BIDHAA FEKI NCHINI? IPO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments