Habari za Mastaa

Prezzo kaongea baada ya taarifa yake ya kubakwa na wasichana watatu

on

Rapper Prezzo kutokea +254 Kenya  amezungumza baada ya kusambaa kwa taarifa kuhusu yeye kulazwa hospital kutokana na kubakwa na wasichana watatu hotelini, ambapo taarifa hiyo ilikuwa ikisambaa kwenye baadhi ya vyombo vya habari nchini kenya.

Taarifa hizo zilieleza kwamba Prezzo amelazwa katika hospitali ya Karen mara baada ya kuchanganyiwa dawa za kulevya aina ya Cocaine na Viagra zilizopeleka kulewa kisha kubakwa na wasichana watatu katika chumba kimoja cha hoteli.

Bonyeza PLAY hapa chini kumsikiliza PREZZO akizungumza kuhusu hilo.

MAVOKO KAJIBU, MASTAA ANAOTAMANI WAOLEWE KABLA YA MWAKA KUISHA

Soma na hizi

Tupia Comments