Habari za Mastaa

Namna ambavyo Wasanii watakaoperfoam Serengeti Fiesta walipokutana na mashabiki wao Usiku wa Aug 08 Mwanza.

on

37preUnajua Serengeti Fiesta mara nyingi huwa ni kama sikukuu ambayo ikifanikiwa kufika mkoani kwako hutamani kuikosa au hutamani kusimuliwa,usiku wa August 08 ni wasanii waliofika Mwanza kwa ajili ya Fiesta walikutana na mashabiki wao.

Ilikua ni aina nyingine ya burudani kwa mashabiki ambao walifika Jembe ni Jembe Beach kuwaona mastar wao kadhaa ambao tayari wamefika Mwanza,wakapata time ya kupiga picha na perfomance ndogo ya wasanii hao.

Kwenye party hii Host alikua Adam Mchomvu kutoka XXL ya Clouds Fm ambapo yeye aliamua kufanya stand up comed,baadae katikati ya show Adam alianza kushoot video ya wimbo wake mpya ambao haujatoka bado.

Hizi ni baadhi ya picha hizo.

379pre

378pre

371pre

361pre

360pre

354pre

349pre

334pre

300pre

297pre

292pre

286pre

275pre

268pre

256pre

247pre

244pre

239pre

236pre

230pre

223pre

211pre

207pre

206pre

196pre

190pre

182pre

178pre

173pre

150pre

134pre

133pre

129pre

127pre

102pre

100pre

112pre

84pre

69pre

76pre

46pre

19pre

36pre

6pre

9pre

16pre

Tupia Comments