Habari za Mastaa

PICHA 10: Stlye inayotumika kumuenzi Prince

on

Kufuatia kifo cha legengary wa muziki Duniani Prince Rogers Nelson maarufu kama ‘Prince’ aliyefariki April 21 2016 akiwa na umri wa miaka 57, kumefanyika matukio mbalimbali ya kumuenzi mwanamuziki huyo.

Kutokana na umaarufu wa wimbo wake wa ‘Purple Rain‘ baadhi ya maeneo tofautitofauti wamemuenzi kwa rangi ya purple ambapo majumba, minara na madaraja usiku yaliwaka rangi ya purple ikiwa ni ishara ya kumuenzi legendary huyo.

0

https://www.youtube.com/watch?v=EsRUAoUvP10

ULIIKOSA SHOW YA DIAMOND ILIYOVUNJA REKODI MAREKANI, PROMOTA ANASEMA WATU 500 WALIKOSA NAFASI, ANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI  

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments