Leo April 25, 2016 Wakala wa Barabara za mjini na vijijini TARURA kwa upande wa Mwanza wamesema kuanzia mwezi July 2018 hakutakua tena na Parking za watu binafsi kama ilivyozoeleka kwenye Maduka na Ofsisi nyingine kujiwekea Parking, hazitakuwa tena Parking za watu wachache kila Mwananchi atazitumia.
Hayo yameelezwa na Mratibu wa TARURA katika mkoa wa Mwanza Eng. Koyoya Fuko nakusema kuwa wao wana mamlaka ya kusimamia barabara za Mijini na Vijini pamoja na Parking hivyo wameamua kuweka utaratibu wa kila Raia kuzitumia.
LIVE MAGAZETI: Zitto, Heche ‘wanusa’ kifo, Mwangwi wa Aprili 26