Top Stories

Prof. Janabi baada ya kuzushiwa kujiuzulu, aonekana kazini leo (+picha)

on

Mapema leo 28 Machi, 2020 Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi alipita wodini kuangalia hali za wagonjwa waliolazwa katika Taasisi hiyo.

Jana taarifa za uongo zilisambaa kua Mkurugenzi huyo amefukuzwa kazi.

NESI MWENYE HURUMA KAPATA CORONA AKAJIUA ILI ASIAMBUKIZE WENGINE, “ALIAMBUKIZA MMOJA”

Soma na hizi

Tupia Comments