Top Stories

Prof. Kabudi yupo Ufaransa kikazi siku nne (+picha)

on

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi (Mb) amekutana na Waziri wa Ulaya na Mambo ya Nje wa Ufaransa, Jean Yves Le Drian mara baada ya kuwasili katika Wizara ya Mambo ya Nje wa Ufaransa.

Profesa Kabudi yupo Paris nchini Ufaransa kwa ziara ya kikazi ya siku nne ambapo mbali na kukutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Ulaya na Mambo ya nje wa Ufaransa pia atakutana na Taasisi na Jumuiya ya wafanyabiashara wa Ufaransa pamoja na Mambo mengine.

Soma na hizi

Tupia Comments