Top Stories

Prof. Tibaijuka alivyomkumbuka Mume wake “aliniamini sana” (+video)

on

Ni miaka 20 tangu Mume wa Mbunge wa Jimbo la Muleba Kusini Prof. Anna Tibaijuka alipofariki, leo Profesa ameweka wazi maisha aliyonayo bila uwepo wa Mume wake huku akielezea alikuwa mtu wa aina gani.

“Alikuwa Mwanadiplomasia wa Tanzania, nisingekuwa nimeolewa na Wilson Tibaijuka basi nisingekuwa kama Anna Tibaijuka unayemuona leo pia nilipata bahati ya kuwa na Mwanaume aliyekuwa ananiamini aliona kwamba nilikuwa na uwezo kidogo kwa hiyo akawa ananipa nguvu sana”Prof Anna Tibaijuka

LIVE: POLEPOLE AMVAA MBOWE “UNAJIWEKA KARANTINI UPO NA MKEO”

Soma na hizi

Tupia Comments