AyoTV

Muheshimiwa Mbunge Profesa Jay alivyoianza kazi jimboni kwake Mikumi (audio+pichaz)

on

Staa wa kitambo kwenye bongofleva ambaye kwa sasa ni Muheshimiwa Mbunge wa jimbo la Mikumi Morogoro Tanzania Profesa Jay ameanza kuvisogeza vichwa vya habari karibu yake baada ya kuanza kuwafanyia kazi Wananchi wake ikiwa ni ndani ya siku 40 toka kura zipigwe na kumpa ushindi wa jimbo hilo, bonyeza play kwenye hii video hapa chini uone na ujue zaidi.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments