Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Baada ya Profesa J kwenda gereza la Ukonga alipofungwa Mbunge Lijualikali
Share
Notification Show More
Latest News
Muda wa kusitisha mapigano nchini Sudan warefushwa kwa siku 5
May 30, 2023
UAE kutuma chombo cha anga kugundua dalili kuhusu asili ya maisha duniani.
May 30, 2023
Uganda yapitisha sheria mpya dhidi ya wizi wa viungo vya binadamu
May 30, 2023
Mpishi wa timu ya Arsenal Bernice Kariuki astaafu
May 30, 2023
‘June 2024 kila kijiji kitakuwa na Umeme’- Waziri Makamba
May 30, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > social network > Baada ya Profesa J kwenda gereza la Ukonga alipofungwa Mbunge Lijualikali
social network

Baada ya Profesa J kwenda gereza la Ukonga alipofungwa Mbunge Lijualikali

February 19, 2017
Share
1 Min Read
SHARE

January 11 2017 Mbunge wa Jimbo la Kilombero Morogoro kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo ‘CHADEMA’ Peter Lijualikali alihukumiwa na Mahakama ya wilaya kifungo cha miezi sita jela bila kulipa faini kwa kosa la kufanya vurugu kipindi cha uchaguzi wa Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Kilombero.

Leo February 19 2017 Mbunge wa Mikumi Joseph Haule maarufu Profesa J amekwenda kumtembelea gerezani Ukonga Dar es salaam na baada ya kutoka hapo akaandika yafuatayo.

‘Nimetoka gereza la Ukonga kumwona Mh. Lijualikali na Patron wa mkoa wa Morogoro kamanda Zinga na wapiga kura wangu watatu kutoka kata ya TINDIGA walifungwa miaka 30, wana afya njema na wanawasalimia sana ila wanalalamika tu hali sio nzuri kabisa kule ndani.. Mungu AWASAIDIE ???‘

VIDEO: Polisi yaongea kwanini Diamond Platnumz hakufikishwa Mahakamani kama wale wa Singida, bonyeza play hapa chini kutazama….

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

You Might Also Like

Muda wa kusitisha mapigano nchini Sudan warefushwa kwa siku 5

UAE kutuma chombo cha anga kugundua dalili kuhusu asili ya maisha duniani.

Uganda yapitisha sheria mpya dhidi ya wizi wa viungo vya binadamu

Mpishi wa timu ya Arsenal Bernice Kariuki astaafu

Beyonce atoa pongezi za muziki kwa idol wake marehemu Tina Turner.

TAGGED: bongoflevanews, Social media NEWS, TZA HABARI
Admin February 19, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article FULL VIDEO: Show ya Alikiba aliyoifanya Durban South Africa usiku kuamkia leo
Next Article FULL VIDEO: Kamishna mpya wa dawa za kulevya afunguka yanayoendelea
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Muda wa kusitisha mapigano nchini Sudan warefushwa kwa siku 5
Top Stories May 30, 2023
UAE kutuma chombo cha anga kugundua dalili kuhusu asili ya maisha duniani.
Top Stories May 30, 2023
Uganda yapitisha sheria mpya dhidi ya wizi wa viungo vya binadamu
Top Stories May 30, 2023
Mpishi wa timu ya Arsenal Bernice Kariuki astaafu
Top Stories May 30, 2023

You Might also Like

Top Stories

Muda wa kusitisha mapigano nchini Sudan warefushwa kwa siku 5

May 30, 2023
Top Stories

UAE kutuma chombo cha anga kugundua dalili kuhusu asili ya maisha duniani.

May 30, 2023
Top Stories

Uganda yapitisha sheria mpya dhidi ya wizi wa viungo vya binadamu

May 30, 2023
Top Stories

‘June 2024 kila kijiji kitakuwa na Umeme’- Waziri Makamba

May 30, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?