Top Stories

Picha 18 za Mbunge Professor Jay na watu wake wa Mikumi Morogoro December 22

on

Dec 22, 2015 Mbunge wa jimbo la Mikumi mkoani Morogoro, Mh. Joseph Haule aka Professor Jay kwa ruhusa ya CHADEMA amefanya mkutano wa kuwashukuru Wananchi wake kwa kumchagua kuwa mbunge wa jimbo hilo lakini pia akatumia time yake kuwapa kipaza sauti wamweleze shida zao.

Video ya walichoongea utaipata soon kwenye channel ya millardayo YouTUBE lakini kwa sasa unaweza kutazama hizi picha 18 kwenye hii post.

.

.

.

.

.

.

.

.Mbunge wa jimbo la Mikumi, Mh.Joseph Haule aka Professor Jay akizungumza na Wananchi

.

.

.

.

.

.Ni miongoni mwa Wananchi waliojitokeza na kuzungumza kero zinazowakabili

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.Wananchi waliojitokeza kumsikiliza Mbunge wa jimbo la Mikumi, Mh. Joseph Haulee

.

.

.

.Mbunge wa jimbo la Mikumi, Mh Joseph Haule akiwa na Wananchi

.

.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments