Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: PROFILE: Mfahamu Vido Vidox, ripota wa Ayo TV kwa stori za mastaa!!
Share
Notification Show More
Latest News
Arsenal haihitaji motisha ya ziada dhidi ya Spurs- Arteta
September 22, 2023
Derby ya London Kaskazini huko Arsenal ni ‘changamoto kubwa’ – Postecoglou
September 22, 2023
Xavi kuongeza mkataba wa Barcelona hadi 2025
September 22, 2023
Kuelekea fainali ya polisi jamii DPA cup mashabiki wajigamba afisa michezo atoa neno
September 22, 2023
Nigeria:Tinubu aidhinisha nyongeza ya mishahara kwa Taasisi za Elimu ya Juu za Shirikisho
September 22, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Entertainment > PROFILE: Mfahamu Vido Vidox, ripota wa Ayo TV kwa stori za mastaa!!
Entertainment

PROFILE: Mfahamu Vido Vidox, ripota wa Ayo TV kwa stori za mastaa!!

January 26, 2023
Share
2 Min Read
.
SHARE

Mfahamu Vido Vidox ripota wa Habari za Burudani na watu maarufu kutoka Tanzania anayefanya kazi kupitia chombo cha Habari cha mtandaoni (Digital Platforms) cha AyoTV na millardayo.com kilichoanzishwa na kuongozwa na mtangazaji Clouds FM maarufu kama Millard Ayo.

Jina lake kamili ni Victor Kileo (Vido Vidox) ameanza kazi ya Utangazaji baada ya kumaliza masomo yake katika chuo cha Udzungwa alichokuwa akisomea fani ya uwandishi wa Habari na Utangazaji, na baada ya kumaliza masomo alianza kazi radio MOSHI FM inayopatikana mkoa wa Kilimanjaro ambapo alifanya kazi Kwa mwaka mmoja na ndipo baadae akakutana na muanzilishi na msimamizi wa AyoTV TZA Company Ltd, Millard Ayo na ndipo kuanza kufanya naye kazi.

Vido ( Victor ) alijiunga na millard kwenye chombo chake cha Habari 2017 January na kuanza naye kazi akiwa anafanya kazi mbali mbali za kuandika Habari na kuhoji watu maarufu shughuli ambayo mpaka sasa anaifanya akiwa amejipatia umashughuli kutokana na kufahamiana na watu wengi maarufu na hata wale ambao ni wapenzi wa Habari za burudani

Mpaka sasa Vido ameweza kufanya mahojiano na watu wengi maarufu ndani ya Tanzania na hata nje na kufanikiwa kufika kwenye matukio yote makubwa Tanzania na ya nje kama TUZO kubwa za FILAMU za AMVCA zinazotolewa kule Nigeria na matukio mbali mbali ya nchi nyingine ikiwemo Nairobi Kenya, Bunjumbura Burundi, Pretoria South Africa na Maeneo mengine.

.
.
.
.
.
.

Hapa nimekusogezea baadhi ya Mahojiano mbalimbali aliyowahi kufanya na baadhi ya mastaa.

 

You Might Also Like

Boy Spyce, na ndoto ya kumuoa  mwanamuziki wa Marekani Billie Eilish

Watu maarufu akiwemo Davido,Bella Shmurda waungana kwenye maandamano ya kumkumbuka Mohbad

‘Uonevu ulinifanya nipoteze aina zote za kujichanganya na jamii’ – Kizz Daniel

VideoMPYA: Vinka & Phina wametuletea hii remix ya ‘Bailando’

Raia wa Nigeria waendelea kukusanyika Lagos baada ya kifo cha nyota wa Afrobeats

TAGGED: habari za mastaa, Mastaa, millardayo, MillardAyoEXCLUSIVE, On AiR with millard ayo, Vdo Vidox, Victor Kileo, VIDO, vido vidox, VIDOVIDOX, VIDOX
Edwin TZA January 26, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Imani Kajula CEO mpya Simba SC
Next Article Mabibi na Mabwana Nuh Mziwanda ametuletea hii single mpya ‘Nikizipata’
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Arsenal haihitaji motisha ya ziada dhidi ya Spurs- Arteta
Sports September 22, 2023
Derby ya London Kaskazini huko Arsenal ni ‘changamoto kubwa’ – Postecoglou
Sports September 22, 2023
Xavi kuongeza mkataba wa Barcelona hadi 2025
Sports September 22, 2023
Kuelekea fainali ya polisi jamii DPA cup mashabiki wajigamba afisa michezo atoa neno
Top Stories September 22, 2023

You Might also Like

Sports

Arsenal haihitaji motisha ya ziada dhidi ya Spurs- Arteta

September 22, 2023
Sports

Derby ya London Kaskazini huko Arsenal ni ‘changamoto kubwa’ – Postecoglou

September 22, 2023
Sports

Xavi kuongeza mkataba wa Barcelona hadi 2025

September 22, 2023
Top Stories

Nigeria:Tinubu aidhinisha nyongeza ya mishahara kwa Taasisi za Elimu ya Juu za Shirikisho

September 22, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?