fB insta twitter

Ni Profesa Jay na CHADEMA.. Unajua kilichotokea leo? Kisome hapa uone na picha..

on

ProoMkongwe kwenye Game, Profesa Jay leo ameandika historia nyingine tangu atangaze kuingia rasmi kwenye jukwaa la kisiasa.

Unajua kwamba jamaa alitangaza  rasmi kuvaa gwanda la CHADEMA sasa leo ameendelea kuandika historia nyingine, kupitia ukurasa wake wa Instagram, Profesa Jay ameweka picha nane akionyesha shughuli za ufunguzi wa tawi jipya la CHADEMA huku akihamasisha wananchi kushiriki kujiandikisha kwenye daftari la makazi na kisha kupiga Kura.

Hiki ndicho alichokiandika; “..Kuhamasisha wananchi kujiandikisha na kisha kupiga KURA. …. Hamasisha na kwa watu wako ili wajitambue na kunitumia vema HAKI yao ya kuchagua viongozi wao kwa maendeleo yao!!!…”- Prof. Jay

“..Ufunguzi wa matawi mapya, Ujengaji wa chama na uhamasishaji kwa wananchi kujiandikisha kwenye daftari la makazi na kisha kupiga KURA! !!..”

Picha mbili na kile alichokiandika viko hapa.

ProPro II

ProfProf iiNi halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Facebook

Tupia Comments