Habari za Mastaa

Sekunde 18 za sehemu ya new single ya Victoria Kimani ft. Diamond & Ommy Dimpoz

By

on

Screen Shot 2014-05-10 at 5.57.06 PMWakati wako studio kuitengeneza hii video kuna siku Ommy Dimpoz alipost picha akiwa pamoja na Victoria na Diamond ambapo baadae video hiyo kwenye instagram ilizua ishu kubwa mpaka Wema kwenda studio kumfata Diamond na kudaiwa kufanya fujo kisa kamuona na Victoria Kimani.

kimanii

Bonyeza play kusikiliza kionjo chenyewe hapa chini ambapo wimbo kamili unatoka May 14 2014.

Tupia Comments