AyoTV

Karibu utazame video mpya ya Victoria Kimani feat.Diamond Platnumz&Ommy Dimpoz – Prokoto.

on

kimnAudio ya wimbo huu umefanywa hapa hapa Tanzania na producer wa Kitanzania anaitwa Tudd Thomas ambaye ni mkali aliyetengeneza hit single kadhaa za wasanii mbalimbali ikiwemo single ya Ndagushima ya Ommy Dimpoz na Mdogo Mdogo ya Diamond Platnumz.

Video imefanywa na Director kutoka Kenya Kevin Bosco Jnr ambaye kwa taarifa fupi ni kwamba ameshiriki pia kutengeneza video ya Mtanzania Ney wa Mitego ya Mr. Ney ambayo bado haijatoka.

Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu na niko tayari kukutumia wakati wowote iwe usiku au mchana iwapo utakua umejiunga na mimi kwa kubonyeza hapa >>> twitter Insta FB

Tupia Comments