Michezo

PSG mabingwa wa Ligue 1 2019/20

on

Shirikisho la soka Ufaransa (LFP) limetangaza rasmi kuwa club ya Paris Saint Germain ya Ufaransa kuwa ndio Mabingwa wa Ligi Kuu nchini humo (Ligie 1) 2019/20.

Maamuzi hayo yameafikiwa kwa kuzingatia msimamo wa sasa wa Ligi ulipofikia ndio unatambulika kama mwisho wa msimu.

Hadi maamuzi hayo yanatoka PSG walikuwa wanaongoza katika msimamo wa Ligi Kuu Ufaransa wakiwa na point 68 wamecheza mechi 27 na zilikuwa zimesalia mechi 11, tofauti ya point 12 na Olympic Marseille waliopo nafasi ya pili kwa kuwa na point 56.

Soma na hizi

Tupia Comments