AyoTV

Baada ya ile kolabo na Rick Ross, sasa PSquare wameiachia hii video waliyoifanya na ft. T.I

on

Screen Shot 2014-08-29 at 9.09.53 PMWaliifanya na Rick Ross na wakachukua headlines za kutosha baada ya Akon kuwaunganisha ambapo baada ya hapo zilitoka stori nyingi za chinichini kwamba wakali hawa wa Nigeria wamekubali kulipa mamilioni ya pesa za kibongo kulipia ada ya kufanya kolabo na Usher Raymond.

Pamoja na kwamba hizo stori zilikua na nguvu sana kwa chinichini huku wao wenyewe wakiwa hawajazithibitisha, P Square wameileta hii kolabo waliyofanya na rapper kutoka Atlanta Marekani, T.I

Umeonaje wimbo na video yenyewe? usisite kuniachia kwenye comments yako ya moyoni mtu wangu

Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu na niko tayari kukutumia wakati wowote iwe usiku au mchana iwapo utakua umejiunga na mimi kwa kubonyeza hapa >>> twitter Insta FB

Tupia Comments