Habari za Mastaa

Baba na mwana hapa wanaenjoy muziki mzuri…

on

Peer SqyareHuenda ule usemi wa mtoto wa nyoka ni nyoka una maana na ukweli zaidi hasa pale mtoto anapoweza kurithi kazi ya wazazi wake na kuimudu vizuri.

Peter Okoye kutoka kundi la P Square aliamua kushare na mashabiki wake kwenye ukurasa wake Instagram akiwa anaimba na mtoto wake anayeitwa Aliona wimbo wa ‘Ajeajo‘.

A video posted by Peter okoye (@peterpsquare) on

Hautopitwa na stori yoyote inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta Facebook

Tupia Comments