Habari za Mastaa

Video ya ‘Personally’ ya P-Square kwenye rekodi nyingine Afrika…

on

paso

Kundi La P Square limeingia kwenye rekodi mpya baada ya video ya ngoma yao ya ‘Personally’ kufikisha views milioni 50 kupitia mtandao wa YouTube.

Video hiyo iliyotoka mwaka 2013 imekuwa Video ya kwanza Afrika kufikisha idadi ya watu wengi zaidi waliyoitazama ambayo ilisimamiwa na kaka yao Jude Okoye.

 

Wow!!!! 50 million views ???? breaking records in Africa????

A photo posted by @rudeboypsquare on

 

Itazame hapa ……

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Tupia Comments