Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: P Square watembelea ofisi za Jay Z; Roc Nation & TIDAL, wapost picha hii kwenye Instagram…
Share
Notification Show More
Latest News
Picha: Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris awasili nchini Ghana
March 27, 2023
Kenya:Mmoja auawa kwa kupigwa risasi kwenye vurugu za maandamano kisumu.
March 27, 2023
Katibu Tawala msaidizi Mkoa wa Morogoro awaagiza hili watumishi wa Halmashauri za Wilaya
March 27, 2023
Aliyemzushia DAS taarifa za uongo Jela kifungo Mwaka mmoja
March 27, 2023
Waziri Nape kufungua Mkutano wa Wahariri Mkoani Morogoro
March 27, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Habari za Mastaa > P Square watembelea ofisi za Jay Z; Roc Nation & TIDAL, wapost picha hii kwenye Instagram…
Habari za Mastaa

P Square watembelea ofisi za Jay Z; Roc Nation & TIDAL, wapost picha hii kwenye Instagram…

September 28, 2015
Share
2 Min Read
SHARE

Kundi maarufu la muziki kutoka Nigeria P Square wanazidi kuvuna mafanikio yao mengi wanayoyapata kupitia muziki… hivi karibuni kundi hilo lilipata fursa ya kutembelea ofisi za rapper Jay Z nchini Marekani, New York na kufanya nae interview pamoja na mkutano!

PSQUARE3
Peter Okoye wa P Square.

P Square walikuwa nchini Marekani kwa ajili ya tour na baada ya kurudi nyumbani Peter Okoye mmoja ya wasanii wanaounda kundi la P Square alichukuwa time na kupost kwenye account yake ya Instagram miongoni mwa mafanikio walioyapata kwenye tour ya safari hii huko Marekani kwa kupost picha na ujumbe uliosema…

>>> “Kwenye ofisi za @tidal na ilikuwa interview na mkutano poa sana. #SomethingBig #RocNations”.<<< @peterpsquare.

PSQUARE
P Square wakiwa kwenye ofisi za Jay Z Roc Nation/Tidal nchini Marekani hivi karibuni.

Miezi michache iliyopita Jay Z alimtuma binamu yake Bee High huko Nigeria kwenda kutafuta soko na wasanii ambao watakuwa tayari kufanya biashara na rapper huyo kupitia service na application yake ya kusikiliza na kudownload muziki TIDAL… Akiwa Nigeria Bee High alifanikiwa kukutana na Don Jazzy boss wa lebo ya Mavin Records, MI Abaga boss wa lebo ya Chocolate City pamoja na P Square wenyewe.

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia kuanzia kwenye siasa, muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata, pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>> YouTUBE

You Might Also Like

Sina Tatizo na yeye, mteule wa Rais hanuniwi” Steve Nyerere Kafunguka (+video)

Rihanna & Asap rocky waipanga ndoa yao ya siri , barbados hivi karibuni

MTOTO WA BECKHAM APOST SAA YA MIL 97, ANYWA POMBE NA BABA YAKE

MADONNA AWAJIBU MASHABIKI MUONEKANO WAKE MPYA BAADA YA UPASUAJI!

Exclusive: Dully Vanny kwa uchungu azungumzia video chafu aliyotajwa, amtaja diamond na mama yake

TAGGED: Nigeria
Millard Ayo September 28, 2015
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Hivi ndio ilivyokuwa Ndoa ya mtu na mpenzi wake, wote wana matatizo ya akili… #Hekaheka (Audio)
Next Article Ninayo list ya kikosi cha Taifa Stars kitakachoikabili Malawi October 09 2015 …!!
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Picha: Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris awasili nchini Ghana
Top Stories March 27, 2023
Kenya:Mmoja auawa kwa kupigwa risasi kwenye vurugu za maandamano kisumu.
Top Stories March 27, 2023
Katibu Tawala msaidizi Mkoa wa Morogoro awaagiza hili watumishi wa Halmashauri za Wilaya
Top Stories March 27, 2023
Aliyemzushia DAS taarifa za uongo Jela kifungo Mwaka mmoja
Top Stories March 27, 2023

You Might also Like

Top Stories

Picha: Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris awasili nchini Ghana

March 27, 2023
Top Stories

Kenya:Mmoja auawa kwa kupigwa risasi kwenye vurugu za maandamano kisumu.

March 27, 2023
Top Stories

Katibu Tawala msaidizi Mkoa wa Morogoro awaagiza hili watumishi wa Halmashauri za Wilaya

March 27, 2023
Top Stories

Waziri Nape kufungua Mkutano wa Wahariri Mkoani Morogoro

March 27, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?