fB insta twitter

Kilichoandikwa na Idriss, Rama Dee & Nikk wa Pili baada ya Ruge kuzungumza

on

Baada ya vyombo vya habari Tanzania kuungana leo March 20, 2017 kufuatia issue ya RC Makonda kuingia katika Ofisi za Clouds Media Group akiwa na askari wenye silaha, wasanii mbalimbali wameichukulia issue hiyo kama funzo kwa wasanii ambapo baadhi yao walilipeleka kwenye social networks.

Rama Dee, Idriss Sultan na Nikki wa Pili walipost haya>>>“Wasanii mmeona umoja wa vyombo vya habari??? Ameguswa clouds wote wameungana kaguswa Vanessa Mdee wote mmekimbia! Hata kwenye page zenu basi kuonyesha kuwa mliguswa ?
Huu ni mfano mzuri sana kwa Wasanii”:- Rama Dee

 

 

VIDEO: ‘Jiulize, Gwajima nina kila kitu nateseka nini?’- Askofu Gwajima

Ufafanuzi wa waziri Mwijage kuhusu kuizungumzia video ya CLouds inayosambaa, Bonyeza play hapa chini kusikiliza

Soma na hizi

Tupia Comments