Habari za Mastaa

Baada ya P Square ft Akon na Rick Ross, huyu ndio anaefata! picha 9 wakifanya nae video Marekani

on

Screen Shot 2014-06-26 at 11.49.29 PMWalianza kuchukua headlines za kolabo za kimataifa baada ya kushirikiana na Akon pamoja na Rick Ross ila time hii anaefata ni trouble man T.I wa Marekani.

Wakiwa wanaifanyia kazi album yao ya sita, P Square kutoka Nigeria hawajazungumza maneno ya ziada baada ya kuthibitisha kwamba wamemshirikisha rapper T.I kwenye moja ya nyimbo za hiyo album.

Hizi picha ni wakati wanafanya video ya kolabo yenyewe nchini Marekani.
Screen Shot 2014-06-26 at 11.49.39 PM

Screen Shot 2014-06-26 at 11.49.49 PM

Screen Shot 2014-06-26 at 11.49.20 PM

Screen Shot 2014-06-26 at 11.49.04 PM

Screen Shot 2014-06-26 at 11.50.01 PM

Screen Shot 2014-06-26 at 11.50.12 PM

Screen Shot 2014-06-26 at 11.50.21 PM

Screen Shot 2014-06-26 at 11.51.09 PMNi halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta FB

Tupia Comments