Vituko/ Comedy

Mbwa huyu alipewa kazi ya kumlinda mtoto, kilichofuatia ni story mtu wangu…(Video)

on

pppHuku kwetu mbwa tunawatumia kwa ajili ya ulinzi, kwa wenzetu ni zaidi ya hapo.. ni sehemu ya familia na ni moja ya marafiki wa karibu sana na watu.

Hapa nimekuwekea video ya mbwa huyu ambaye alikuwa akimlinda mtoto, akajikuta na yeye usingizi unamuelemea.. akaona alale juu ya mtoto ili aendelee na kazi yake ya ulinzi.

Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter, Instagram na Facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza>>>twitter Insta Facebook

Soma na hizi

Tupia Comments