Habari za Mastaa

Justin Bieber aisambaza official tracklist ya Album yake mpya; ‘Purpose’… isome yote hapa!

on

Justin Bieber anaziandika headlines kwenye kurasa za burudani baada ya msanii huyo wa muziki wa Pop kuamua kutumia njia tofauti kidogo kuwatangazia mashabiki wake official tracklist ya nyimbo zote zitakazopatikana kwenye Album yake mpya ‘Purpose’.

Msanii huyo wa Pop ameamua kutafuta wasanii wa grafitti akiwemo Mr. Cartoon, Abstrk, na Brooklyn Whelan kwa nia ya kuchora grafitti za ukutani za nyimbo zote 19 zinazopatika kwenye Album yake kwenye miji mbalimbali duniani kuanzia jijini Los Angeles, Marekani, Paris, France na sehemu nyingine.

PPE

Justin Bieber: (Purpose Album Cover Shoot).

Ukitembelea ukurasa wa Twitter wa Justin, utagundua kuwa traclist ya Album mpya ya msanii huyo imebeba nyimbo 19, ambapo ndani yake wasanii wakubwa kama Big Sean, Travis Scott, Nas, na Halsey wameshirikishwa. Kwa upande wa production, DJ Skrillex, Mike Dean, DJ Diplo na Poo Bear wamehusika huku Ariana Grande atasikika kwenye remix ya wimbo wa ‘What Do You Mean’ wa Bieber.

Hapa chini nimekusogezea  picha na track list nzima ya nyimbo zinazopatikana kwenye Album mpya ya Justin Bieber ambazo nimefanikiwa kuzinasa kupitia ukurasa wake wa Twitter.

1. “Mark My Words”

purpose1

2. “I’ll Show You”

purpose2

3. “What Do You Mean?”

purpose3

4. “Sorry”

purpose4

5. “Love Yourself”

purpose5

6. “Company”

purpose6

7. “No Pressure” (Feat. Big Sean)

purpose7

8. “No Sense” (Feat. Travis Scott)

purpose8

9. “The Feelings” (Feat. Halsey)

purpose9

10. “Life Is Worth Living”

purpose10

purpose11

11. “Where Are Ü Now” (Feat. Skrillex & Diplo)

purpose12

12. “Children” (Feat. Skrillex)

purpose13

13. “Purpose”

purpose14

14. “Been You”

purpose15

15. “Get Used To Me”

purpose16

16. “We Are” (Feat. Nas).

purpose17

17. “Trust”

purpose18

18. “All In It”

19. “What Do You Mean? (Remix)” (Feat. Ariana Grande).

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter,FB,Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAMTWITTERFBYOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments