Habari za Mastaa

CloudsFM TOP 20: Kali 20 zilizofanya vizuri Wiki hii, August 27, 2017

on

Ni show ya Radio ambayo huwa inasikika kila siku ya Jumapili CloudsFM ikichukua dakika 120 kuanzia saa 5:00 Asubuhi hadi saa 7:00 Mchana na kusimamiwa na mtangazaji Mami Baby.

Leo August 27, 2017 kwenye chat zipo ngoma kadhaa zilizoshuka na nyingine kupanda huku pia kukiwa na maingizo mapya ambayo ni Joh Makini Feat Davido – Kata Leta na Roma – Zimbabwe.

Kitu RC Makonda amewaandikia Diamond na Alikiba kutokana na BEEF yao 

Soma na hizi

Tupia Comments