AyoTV

VIDEO: Unadhani Shamsa Ford atajibu nini kuhusu kuolewa hivi karibuni?

on

Jina lake limepata ujazo kwenye uigizaji wa movie za kitanzania maarufu kama bongo movie lakini pia jina lake lilitajwa sana kipindi cha juzi kati alivyokua mapenzini na Nay wa Mitego ikiwa ni baada ya kuachana na baba wa mtoto wake.

sweduii

Shamsa na mchumba wake

Siku zimesogea na maisha yanasonga, sasa hivi Shamsa Ford anae mpenzi mwingine na Shamsha mwenyewe ameiambia AyoTV yafuatayo >>>Nimeshatolewa mahari kila kitu tayari tunachokisubiri ni maandalizi tu ya ndoa, yeye ndio kwanza kama Mwanaume alinipeleka kwao kisha mimi nikafuata

Zaidi unaweza kumtazama Shamsha mwenyewe kwenye hii video hapa chini kupata kila uthibitisho kutoka kwake

ULIKOSA KUONA HII YA SHAMSA FORD KUTUONYESHA MPENZI WAKE KWENYE BIRTHDAY? BONYEZA PLAY HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments