Habari za Mastaa

Baada ya kumalizana na BASATA Nay wa Mitego kaachia hii single mpya….

on

Baada ya kuchukua headlines za kufungiwa kwa wimbo wake wa ‘Pale Kati’ kutokuwa wa kimaadili katika jamii, sasa basi time hii  ameachia single nyingine mpya iitwayo Good Time aliyomshirikisha Tiki.

Unaweza ukabonyeza HAPA kuisikiliza single hiyo mpya

ULIIKOSA HII YA BASATA KUHUSU KUMFUNGULIA NAY WA MITEGO KUFANYA KAZI YA SANAA BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments