Habari za Mastaa

Q Chila kampa makavu TID ”Asimuite mwanangu chawa, bado hayajaisha”

on

Baada ya Shilole kufanikiwa kuwakutanisha Qchila na TID kwenye stage kisha wakaimba pamoja, AyoTV na millardayo.com ikampata Q Chila kuzungumza naye kuhusu tukio hilo na kujua tatizo lilikuwa nini mpaka wakawa na tofauti.

Bonyeza PLAY hapa chini kumtazama Q Chila akifunguka.

VIDEO: SHILOLE KAZUNGUMZA KUWAPATANISHA TID NA Q CHILA, KUMZALIA UCHEBE

Soma na hizi

Tupia Comments