AyoTV

VIDEO: Tazama hat-trick ya kwanza Mapinduzi Cup 2017

on

Mchezo wa Jang’ombe Boys dhidi ya KVZ leo ulikuwa ni mchezo uliyoweka historia mpya katika michuano ya Mapinduzi Cup 2017, mchezaji wa Jang’ombe Boys Abdul Samadi Kassim Ally kufunga hat-trick ya kwanza katika ushindi 3-1 wa Jang’ombe Boys dhidi ya KVZ.

ALL GOALS: JKT Ruvu vs Yanga December 17 2016, Full Time 0-3

Soma na hizi

Tupia Comments