Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Staa wa movie Hollywood anadaiwa kufanya unyanyasaji wa kingono
Share
Notification Show More
Latest News
Mke wa rais aliyepinduliwa nchini Gabon ashtakiwa kwa ‘utakatishaji wa fedha’.
September 30, 2023
Burkina Faso: Uchaguzi sio muhimu kama usalama wa nchi: Kiongozi wa serikali ya kijeshi
September 30, 2023
Tupac Shakur: Duane Davis kushtakiwa kwa mauaji ya rapper 1996.
September 30, 2023
Watumishi watakiwa kujipanga kustaafu pindi wanapoajiriw.
September 30, 2023
Anthony kurejea mazoezini baada ya sekeseke lililomkuta.
September 30, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mali za Mastaa > Staa wa movie Hollywood anadaiwa kufanya unyanyasaji wa kingono
Mali za Mastaa

Staa wa movie Hollywood anadaiwa kufanya unyanyasaji wa kingono

May 24, 2018
Share
1 Min Read
SHARE

Staa mkongwe kutokea Hollywood Marekani Morgan Freeman mwenye umri wa miaka 81 anaripotiwa kuingia matatizoni kwa tuhuma za kuwafanyia unyanyasaji wa kingono wanawake nane tofauti  katika kazi zake za uigizaji.

Staa huyo ambaye amejulikana kwa umahiri wake wa kuigiza katika filamu mbalimbali, inasemekana mwaka 2015 akiwa katika utengenezaji wa filamu ya “Going In Style” na mmoja kati ya wanawake waliokuwa wakifanya nae kazi hiyo, anadaiwa kutenda kosa la unyanyasaji wa kingono.

CNN imeripoti baada ya kumpata mmoja kati ya wanawake waliofanyiwa unyanyasaji huo ambaye alitambulika kwa jina la Chloe Melas na kusema kuwa muigizaji huyo alijaribu kumfanyia unyanyasaji huo wakati akiwa na mimba ya miezi sita huku akimwambia maneno mazito ya kimahaba.

Baada ya CCN kufanya mahojiano na wanawake 16 na nane kati ya hao walikubali kufanyiwa unyanyasaji huo, huku wengine wakishuhudia kitendo hicho, Morgan Freeman amewahi kushinda tuzo mbalimbali kama Academy Award 2005 kupitia movie ya Million Dollar Baby lakini amewahi kuchaguliwa mara kadhaa kuwania tuzo za Oscar kupitia movie mbalimbali kama Street Smart (1987) na Driving Miss Daissy.

Huzuni ya Baba Billnass baada ya Kukanwa kwenye wimbo wa ‘Tag Ubavu’

You Might Also Like

Meneja Chambuso afunguka kubwagana na Aslay

EXCLUSIVE: Msanii Bando kafunguka, hana Dini, alilelewa miezi 6, ampoteza Baba

VIDEO:Muonekano wa Studio ya S2kizzy baada ya kuvamiwa DSM

VIDEO:Mwanaume anaedaiwa kutoka kimapenzi na shilole kafunguka uhusiano wao

Shangwe za Alikiba akitoa burudani uwanja wa Uhuru DSM (+Video)

TAGGED: bongofleva news
Admin May 24, 2018
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article VideoMPYA: Ni time ya ku-enjoy “Akonuche” kutoka kwa Kcee
Next Article Vyakula unavyoshauriwa kutumia wakati wa kufuturu ili kuepuka kansa ya utumbo
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Mke wa rais aliyepinduliwa nchini Gabon ashtakiwa kwa ‘utakatishaji wa fedha’.
Top Stories September 30, 2023
Burkina Faso: Uchaguzi sio muhimu kama usalama wa nchi: Kiongozi wa serikali ya kijeshi
Top Stories September 30, 2023
Tupac Shakur: Duane Davis kushtakiwa kwa mauaji ya rapper 1996.
Top Stories September 30, 2023
Watumishi watakiwa kujipanga kustaafu pindi wanapoajiriw.
Top Stories September 30, 2023

You Might also Like

Top Stories

Mke wa rais aliyepinduliwa nchini Gabon ashtakiwa kwa ‘utakatishaji wa fedha’.

September 30, 2023
Top Stories

Burkina Faso: Uchaguzi sio muhimu kama usalama wa nchi: Kiongozi wa serikali ya kijeshi

September 30, 2023
Top Stories

Tupac Shakur: Duane Davis kushtakiwa kwa mauaji ya rapper 1996.

September 30, 2023
Sports

Anthony kurejea mazoezini baada ya sekeseke lililomkuta.

September 30, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?