Top Stories

Naibu Waziri aagiza mahindi yauzwe kwenye Viwanda vya Bia (+video)

on

Naibu Waziri wa Kilimo Innocent Bashungwa leo amekutana na Mkurugenzi wa Manunuzi wa Kampuni ya bia ya TBL katika kuwatafutia Wakulima soko la uhakika la mazao yao kwa Wafanyabiashra wakubwa.

Bashungwa amesema amefanya kikao hicho cha kwanza na TBL ili kuangalia namna ya kuwasaidia wakulima wa mahindi na mazao mengine ambao wamekua wakilalamikia kutokupata soko la uhakika la mazao yao.

HUYU NI WAZIRI KANGI LUGOLA KATIKA UBORA WAKE, BONYEZA PLAY HAOA CHINI KUMTAZAMA

 

Soma na hizi

Tupia Comments