Habari za Mastaa

EXCLUSIVE: Wasanii wa Alikiba wafunguka ‘Gharama nyingi zimetuka kuwaandaa’

on

Baada ya mwimbaji Alikiba kuutumikia muziki wa Bongofleva kwa zaidi ya miaka 15 na kufanikiwa kupata mafanikio ameamua kurudisha fadhila kwa kusaidia kukuza sanaa kwa kutambulisha vipaji vipya kwenye industry ambapo  kupitia record label yake mpya ya King’s Music amewatambulisha wasanii Cheed, Killy, K2ga na Abdukiba.

Sasa wakali hao wamekaa kweye Exclusive na AyoTV na millardayo.com kuelezea safari yao ya muziki ikiwa ni ngoma mbili sasa wameziachia huku wakidai kuwa ni gharama kubwa zimetumika mpaka wao kufikia hapo.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama FULL VIDEO.

VIDEO: Huyu ndo Producer Kimambo kafunguka Shetta kutumia biti ya Nandy

EXCLUSIVE: Billnass kafunguka ishu ya kumvalisha mchumba wake pete mwaka huu

Soma na hizi

Tupia Comments