Top Stories

Nyerere na Machel walipigania Uhuru wa Msumbiji katika gogo hili (+video)

on

June 25, 1975 Nchi ya Msumbiji hukumbuka siku ambayo wamepata Uhuru wao kutoka kwa watawala wa Kireno (Portugal) japo waliupata kwa kupigana vita wakiongozwa Samora Machel.

Moja ya Taifa ambalo limesaidia Nchi ya Msumbiji ni Taifa la Tanzania chini ya Mwalimu Julius Nyerere alisaidia nchi ya Msumbiji kupata Uhuru kutoka kwa Wakoloni.

Samora Machel na Wanajeshi wenzake wapigania Uhuru waliweka kambi katika nchi ya Tanzania na muda mwingine Mwalimu Nyerere alifika katika eneo hilo na kupanga mikakati mbalimbali ya kupata uhuru huo,

AyoTV imefika mpaka sehemu ambayo Mwalimu Nyerere alikaa na Samora Machel kupanga jinsi ya kupata Uhuru, kama ulikua ufahamu kuna gogo ambalo Mwalimu Nyerere na Samora Machel walikaa kupanga mikakati.

RC MWANRI AWAIBUKIA WALIOFUNGA NDOA NA MWANAFUNZI “MNOKO CHIKICHII NIMEWASUKUMIA NDANI”

Soma na hizi

Tupia Comments