Videos

VideoMPYA: Quick Rocka, G Nako na Jux wametuletea hii video mpya ya ‘hapo’

on

TV zinazidi kupata ugeni wa video mpya za bongofleva ambapo time hii ni zamu ya Quick Rocka G Nako na Jux kwenye single mpya inaitwa ‘hapo’, ukishamaliza kuitazama uniachie na comment yako umeionaje na wimbo wenyewe.

ULIIKOSA YA MOSE IYOBO NA AUNTY EZEKIEL WALIVYOANGUSHA PARTY YA MTOTO WAO? TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments