Nyumba/ Mijumba

PICHAZ 15: Kama una mipango ya kujenga nyumba ya kisasa na yenye Swimming Pool, unaweza cheki hizi

on

Huenda mtu wangu wa nguvu wewe ukawa ni mmoja kati ya watu wenye mipango ya kujenga nyumba ya kisasa, kutokana na mapenzi yako ya kupenda kuogelea, ukashawishika kuwa ujenzi wa nyumba yako uweke au kujenga Swimming Pool kwa ajili ya kuogelea, mtu wangu wa nguvu unaweza kuangalia idea za nyumba 15 zenye Swimming Pool za kisasa.

11-Saratoga-Creek

12-Split-Oaks

13-Pools-Chicago

14-Dror-Barda

15-Zen-Environments

1-Cat-Mountain

2-Compound-Dunes

3-Herron-Residence

4-Highland-Park

5-Abramson-Teiger

6-Bertram-Architects

7-Los-Angeles

8-Angeles-Pool

9-Menlo-Parks

10-Hugh-Randolph

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

ZOEZI LA UBOMOAJI WA NYUMBA ZAIDI YA 400 KIBAMBA MAY 2 2016

Soma na hizi

Tupia Comments