Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: TAHADHARI: Madhara wanayopata watoto wanaolishwa chakula kwa kijiko
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo March 27, 2023
March 27, 2023
Picha: Kutoka kwenye Usiku wa Malkia wa nguvu Mlimani City Hall DSM
March 26, 2023
Hhayuma afunguka uwepo wa Baraza la ardhi Hanang, ‘Nilitaka kushika Shilingi ya Waziri Bungeni’
March 26, 2023
Picha: Mfugaji akamilisha Mjengo wake, aishukuru Kampuni ya Asas kwa kufanikisha ndoto zake
March 26, 2023
Waziri Jafo acharuka, atoa maagizo Mbweni “Wachimba Mchanga, kamata gari, hatua zichukuliwe”
March 26, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > AyoTV > TAHADHARI: Madhara wanayopata watoto wanaolishwa chakula kwa kijiko
AyoTV

TAHADHARI: Madhara wanayopata watoto wanaolishwa chakula kwa kijiko

June 10, 2017
Share
1 Min Read
SHARE

Watoto ambao hulishwa chakula kwa kijiko wameelezwa kuwa hatarini zaidi kuwa na uzito mkubwa au unene kupita kiasi ukilinganisha na watoto ambao wanakula wenyewe kwa mikono yao, kwa mujibu wa utafiti mpya.

Amy Brown, Professor katika Chuo Kikuu cha Swansea amesema kuwa watoto wanaopewa nafasi ya kula wenyewe kwa mikono yao huwa na uwiano mkubwa wa afya bora hivyo wazazi wameshauriwa kutowalisha kwa kijiko watoto wenye umri wa zaidi ya miezi sita kwa sababu wanakuwa tayari wanaweza kula vyakula vigumu.

Akiongea na Sunday Times mwandishi huyo wa kitabu cha Why Starting Solids Matters, ambacho kitachapishwa wiki ijayo amesema lazima watoto waruhusiwe kula kidogo au zaidi pale wanapojifunza kula wenyewe akidai kuwa kutumia kijiko huwafanya watoto kula zaidi ya wanavyohitaji.

FULL VIDEO: Kutoka kwenye msiba wa Ivan Don Uganda. Bonyeza play kutazama kila kinachoendelea kwenye msiba wa mume wa zamani wa Zari the Boss Lady!!!

You Might Also Like

Chege kaweka wazi chanzo cha kupishana na Diamond Platnumz kwa ishu ya Mbosso

Ukali wa DC Jokate alivyoagiza watumishi wa Tanesco kupelekwa rumande ‘Sina huruma’

Dorah ashindwa kujizuia amwaga machozi asimulia magumu aliyopitia kwenye maisha yake

‘Sho Madjozi’ akiwaimbia live watanzania Mama Amina ya Marioo Kidimbwi Beach DSM

VIDEO:Mwanaume anaedaiwa kutoka kimapenzi na shilole kafunguka uhusiano wao

TAGGED: utafiti
Admin June 10, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article PICHA 12: Muonekano wa Bustani ya Askari Monument DSM baada ya maboresho
Next Article VIDEO: Vipaumbele 17 vilivyoombewa Bajeti na Wizara ya Fedha 2017-18
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo March 27, 2023
Magazeti March 27, 2023
Picha: Kutoka kwenye Usiku wa Malkia wa nguvu Mlimani City Hall DSM
Top Stories March 26, 2023
Hhayuma afunguka uwepo wa Baraza la ardhi Hanang, ‘Nilitaka kushika Shilingi ya Waziri Bungeni’
Top Stories March 26, 2023
Picha: Mfugaji akamilisha Mjengo wake, aishukuru Kampuni ya Asas kwa kufanikisha ndoto zake
Top Stories March 26, 2023

You Might also Like

Top Stories

Picha: Kutoka kwenye Usiku wa Malkia wa nguvu Mlimani City Hall DSM

March 26, 2023
Top Stories

Hhayuma afunguka uwepo wa Baraza la ardhi Hanang, ‘Nilitaka kushika Shilingi ya Waziri Bungeni’

March 26, 2023
Top Stories

Waziri Jafo acharuka, atoa maagizo Mbweni “Wachimba Mchanga, kamata gari, hatua zichukuliwe”

March 26, 2023
Top Stories

Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Mwanza limefanya misa Takaridu ya Kumuombea Hayati JPM

March 26, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?