Top Stories

Baba amrusha mwanaye wa mwaka mmoja kutoka juu ya paa…..kisa?

on

Mwanaume mmoja kutoka nchini Afrika Kusini ameingia kwenye headlines za vyombo vya habari duniani kwa kitendo alichokifanya cha kushangaza baada ya kumtupa mtoto wake kutoka juu ya bati la nyumba yake.

Inaelezwa kuwa mwanaume huyo ambaye ana umri wa miaka 38 nyumba yake ilitakiwa kubomolewa na polisi kutokana na kuishi katika makazi ‘haramu’ na katika kufanyika kwa zoezi hilo aliamua kupinga nyumba yake kubomolewa kwa kutishia kumtupa mtoto wake.

Mwanaume huyo alipanda juu ya nyumba yake akiwa amemshikilia mtoto wake huyo wa kike wa mwaka mmoja na pindi askari alipomsogelea alimwachia mtoto huyo na bahati nzuri alidakwa na moja ya maaskari waliokuwa eneo hilo.

Mtoto huyo anaripotiwa kutojeruhiwa na mwanaume huyo amekamatwa na kufunguliwa kesi ya jaribia la kuua.

 The father threatened to throw his little girl to her death

 An officer tries to reason with the irate father at an illegal township in South Africa

 The officer lunges forward just as the child is thrown from the shack

 He grabs the father as the child is flung from the side of the illegal home

 The father was unaware that police officers had strategically positioned themselves to catch the child if he let go

LIVE MAGAZETI: Zitto awalipua mawaziri, Polisi warushiana Risasi mmoja afariki

Soma na hizi

Tupia Comments