Top Stories

R Kelly ashtakiwa kwa ‘kumwambukiza kwa makusudi’ ugonjwa wa zinaa aliyekuwa mpenzi wake

on

Kutoka nchini Marekani mwanamuziki mkongwe nchini humo R Kelly anakabiliwa na mashtaka mapya ya ‘uovu wa kijinsia’ kwa mpenzi wake wa zamani ambaye amedai kuwa R Kelly alimwambukiza kwa makusudi ugonjwa wa zinaa wakiwa Dallas.

Kwa mujibu wa Lee Merritt ambaye ni mwanasheria wa binti huyo, binti huyo amekuwa mwathirika wa jambo hilo akiwa kwenye uhusiano wa kimapenzi na R Kelly katika kipindi cha miezi 11.

Binti huyo anadai kuwekwa kizuizini na mwanamuziki huyo jambo ambalo ni kinyume na sheria, n akumtendea matendo mengine ya kunyanyasa kingono.

Onyo alilotoa January Makamba kwa Mastaa wa Bongo

 

Soma na hizi

Tupia Comments