AyoTV

VIDEO: Alichoongea Q Chief kuhusu anachokifanya Diamond Platnumz

on

Q Chief ni mmoja kati ya wasanii wa wakongwewa Bongofleva na inawezekana hujamsikia kweye ngoma mpya siku nyingi lakini anafatilia vijana wengine wanafanyaje, sasa leo ameamua kutoa ya moyoni kuhusu mwimbaji Diamond Platnumz.

Q anasema Diamond ametuamsha kuwa kuna njia tukipita tunaweza kufanikiwa ndio maana hata watu wengine wanamfata, wakati mwingine tunachati na  Diamond ila kulikuwa kuna project ambayo lazima tutaifanya

Unaweza kumtazama Q Chief mwenyewe kwenye hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments