Top Stories

Amuua Mwanafunzi kwa kumchinja na sime kisa pete (+video)

on

Jeshi la Polisi Mkoani Kilimanjaro linamshikilia Kereto Likoko [Mmasai] kwa madai ya kumuua Mwanafunzi Samson Conradi anayesoma katika Chuo cha Faraja kwa kumkata na sime shingoni kwa madai ya kushindwa kumlipa fedha ya pete ambayo alikuwa akiuza.

KESI YA WATOROSHA DHAHABU NA ASKARI WALIOTAKA RUSHWA BILIONI 1 MAHAKAMANI TENA

Soma na hizi

Tupia Comments