Habari za Mastaa

Soudy Brown kainasa ya Qboy kudaiwa kumpa mimba msichana na kuikataa

on

Leo June 23, 2017 kwenye U-HEARD ya XXL ya Clouds FM Soudy Brown katusogezea hii story ambayo inamuhusu aliyekuwa Stylish wa Diamond Platnumz, Qboy Msafi kudaiwa kumpa ujauzito binti wa miaka 18 kisha kumtekelekeza licha ya awali kumuahidi kumuhudumia baada ya kuambiwa ni yake.

Mtangazaji Soudy Brown baada ya kuipa story hiyo alimpigia simu Qboy Msafi lakini hakupatikana hivyo kuamua kumpigia binti huyo na haya ndiyo aliyojibu:>>>“Sijui kabadilika vipi hataki hata kusikia, ananijibu kashfa. Nilimtishia nikamwambia kama vipi naenda Polisi akanijibu si uende..nikamtishia naenda Shilawadu akasema hadi huko.” – Media. 

Hii hapa FULL STORY…bonyeza PLAY kusikiliza…

AUDIO:Nikki wa Pili kuhusu kauli ya JPM ‘Hakuna mwenye mimba atakayerudi shuleni’

Soma na hizi

Tupia Comments