Habari za Mastaa

Queen wa Amapiano “Boohle” kuinogesha DAR wikiendi hii Maison Club

on

Ni  headlines za msanii kutokea Afrika Kusini, Boohle ambae Septemba 18, 2021 anatarajiwa kutua Dar es Salaam kwa mara ya kwanza kuwaimbia  watanzania wanaoupenda muziki wao unaotikisa kwasasa unaofahamika kama Amapiano.

Boohle amejipatia umaarufu kwa kasi baada ya kusikika katika  nyimbo kadhaa zikiwemo Singili, Siyathandana,Woza, Wamuhle na nyinginezo.

Staa huyo  kutoka Afrika Kusini kwa mara ya kwanza atashika kipaza sauti na kuwaimba watanzania watakaofika Jumamosi hii Septemba 18,2021 katika club ya Maison iliyopo Masaki Dar es Salaam.

Hapa nimekusogezea nyimbo sita zilizompa umaarufu.

Cassper Nyovest – Siyathandana ft. Abidoza, Boohle

PIANO CITY Feat BOOHLE LIVE | EP – 4 | S1

Boohle – Ngimnandi ft Gaba Cannal (Official Visualizer)

Mr JazziQ, Kabza De Small & Lady Du – Woza (ft. Boohle)

Boohle – Singili (Official Video)

Boohle – Wamuhle (ft. De Mthuda, Ntokzin & Njelic)

Soma na hizi

Tupia Comments