Habari za Mastaa

Queen wa Amapiano ‘Boohle’ ameshatua Dar kuinogesha Maison Club

on

Ni headlines za msanii kutokea Afrika Kusini, Boohle ambae tayari ameshatua Dar es Salaam kwaajili ya kuwaimbia watanzania wanaoupenda muziki wao unaotikisa kwasasa unaofahamika kama Amapiano.

Boohle anatarajiwa kutoa burudani leo Septemba 18, 2021 katika Club ya Maison Dar es Salaam, pia kesho Septemba 19, 2021 atawaimbia watanzania Kidimbwi Beach Dar es Salaam.

Boohle amejipatia umaarufu kwa kasi baada ya kusikika katika  nyimbo kadhaa zikiwemo Singili, Siyathandana,Woza, Wamuhle na nyinginezo.

Hizi ni baadhi ya picha kutoka Airport Dar es Salaam baada ya kuwasili nchini Tanzania.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

Boohle – Singili (Official Video)

Boohle – Wamuhle (ft. De Mthuda, Ntokzin & Njelic)

PIANO CITY Feat BOOHLE LIVE | EP – 4 | S1

Soma na hizi

Tupia Comments