Habari za Mastaa

Video: Ukweli kuhusu Miss Ilala aliyekatwa na Panga kichwani na vibaka

on

Kumekuwa na picha zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii zikimuonyesha mrembo Queen Nazir ambaye aliwahi kuwa Miss Ilala na pia mshiriki wa Miss Tanzania 2016 akiwa amejeruhiwa kwa mapanga kichwani huku kukisikika taarifa tofauti kuhusu mkasa huo. AyoTV na millardayo.com imempata Queen kwenye EXCLUSIVE interview ambapo ameongea haya…..

>>>’Nimepata matatizo ndio, lakini nashangaa watu wanavyokuza hii ishu, picha zangu zimesambaa sana mitandaoni, nilikuwa naomba yani hizo picha muache kuzipost kwasababu mimi  naendelea vizuri’

‘Haikuwa usiku sana, nilikuwa natoka town , ile nimefika nyumbani getini ikatokea boda boda na kunivamia, ikanichukulia pochi yangu na kunipiga, kulikuwa na simu yangu Iphone 6 pochi yangu na laki mbili, pamoja na vitu vya kike ‘makeup’  –Queen

 

Unaweza kubonyeza PLAY hapa chini kutazama

Video: ‘Nimeshawahi kwenda kwa Mganga wa kienyeji’ – Darassa>>>

Soma na hizi

Tupia Comments