Habari za Mastaa

Quick Rocka, Janjaro, Shilole, Peter Moe, Paul Makonda washiriki zoezi la upigaji kura Oct 28

on

Octoba 28, 2020 watanzania mbalimbali wamefika kwenye vituo vya upigaji kura ili kutimiza haki zao za kumchagua kiongozi sahihi anaeweza kuleta maendeleo, sasa miongoni mwa mastaa waliotimiza wajibu huo ni Shilole, Dogo Janja, Dj Peter Moe kutoka Clouds FM na Mkali Quick Rocka, aliekuwa Mkuu wa Mkoa wa DSM,  Paul Makonda.

.Pichani ni Msanii kutoka Bongo Flevani Shilole akionesha kidole akiashiria tayari ameshamaliza kupiga Kura

.Pichani ni Msanii kutoka Bongo Flevani Dogo Janja akionesha kidole akiashiria tayari ameshamaliza kupiga Kura

.Pichani ni mfanyakazi kutoka Radio Clouds FM, DJ PETER akionesha kidole akiashiria tayari ameshamaliza kupiga Kura

.Aliekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam. Paul Makonda akionesha kidole akiashiria tayari ameshamaliza kupiga Kura

 

Soma na hizi

Tupia Comments