Habari za Mastaa

Sikiliza hapa Penzi la Quick Rocker leo February 14.

By

on

Quick Rocker 7February 14 inazidi kupata baraka kwa baadhi ya wasanii kuachia nyimbo zao,mmoja wapo ni huyu kutoka 87.8 Mbeya City Quick Rocker humu kashirikishwa Ben Pol ambaye leo anaachia wimbo wake Unaoitwa Penzi umefanywa AM Records na Producer wa kazi hii ni Maneck.

Bonyeza play kusikiliza.

Tupia Comments