Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: BREAKING: Whatsapp imeacha kufanya kazi kwa Mataifa mbalimbali Duniani
Share
Notification Show More
Latest News
Morgan Heritage kuachia album wasanii 16 washirikishwa
March 23, 2023
Baada ya uchaguzi kufutwa Arusha, makada wawili wajitokeza kuchukua fomu yupo mbunge na kada gonga
March 23, 2023
Serikali yashauriwa kuongeza Bajeti ya Usimamizi wa Usalama na Afya nchini
March 23, 2023
Mohammed Hussein afunguka haya kuhusu kutoitwa kwenye timu ya Taifa, ‘Taifa Stairs’
March 23, 2023
DC Jokate Mwegelo awataka hili Wafanyabiashara Wilayani humo ‘Bei za Vyakula’
March 23, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Breaking News > BREAKING: Whatsapp imeacha kufanya kazi kwa Mataifa mbalimbali Duniani
Breaking NewsTop Stories

BREAKING: Whatsapp imeacha kufanya kazi kwa Mataifa mbalimbali Duniani

December 31, 2017
Share
1 Min Read
SHARE

Mtu wangu wa nguvu nikusogezee taarifa kuhusiana na Mtandao wa Whatsapp leo December 31, 2017 umekuwa chini kwa mamilioni ya watumiaji ulimwenguni kote, na kusababisha hofu kwa kwa watumiaj hasa kwenye kipindi hiki wakati watu wa nguvu wakiwa wanasubiri Mwaka Mpya.

Watumiaji nchini Uingereza , Barbados, India, Japan, Panama, Afrika Kusini, Hispania, na Qatar wamesema hawakuweza kuungana na programu hiyo kwa kutuma meseji au kupokea wala kuweka Status.

Programu hiyo maarufu ya ujumbe ilitoa tangazo mapema wiki hii na kuelezea kuwa inatazamia kuwa mahiri kwenye mfumo wa iOS na Android kitu ambacho watalaam wanasema kinaweza kuwa kimechangia usumbufu huo unaojitokeza sasa.

“Tunapotarajia  miaka saba ijayo, tunataka kuzingatia jitihada zetu kwenye ambazo simu idadi kubwa ya watu hutumia,” kampuni hiyo imesema katika  majarida mbalimbali.

Mapema kampuni ya Tech imetangaza kuwa kifaa chochote cha BlackBerry kinaendesha BlackBerry OS au BlackBerry 10 hakitatumia tena programu ya ujumbe wa Whatsapp kwa mwaka 2018

BREAKING LIVE: Freeman Mbowe anazungumza na Waandishi, Kakobe, Serikali na mengine

You Might Also Like

Morgan Heritage kuachia album wasanii 16 washirikishwa

Baada ya uchaguzi kufutwa Arusha, makada wawili wajitokeza kuchukua fomu yupo mbunge na kada gonga

Serikali yashauriwa kuongeza Bajeti ya Usimamizi wa Usalama na Afya nchini

DC Jokate Mwegelo awataka hili Wafanyabiashara Wilayani humo ‘Bei za Vyakula’

Silent Ocean Ltd watoa taarifa kwa wateja wao mabadiliko ya Muda wa kazi, fahamu hapa

TAGGED: TZA HABARI
Millard Ayo December 31, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article EXCLUSIVE: Compozers wazungumza kuhusu Alikiba na Diamond
Next Article Salamu JPM alizomtumia Kenyatta kabla hatujaingia 2018
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Morgan Heritage kuachia album wasanii 16 washirikishwa
Entertainment March 23, 2023
Baada ya uchaguzi kufutwa Arusha, makada wawili wajitokeza kuchukua fomu yupo mbunge na kada gonga
Top Stories March 23, 2023
Serikali yashauriwa kuongeza Bajeti ya Usimamizi wa Usalama na Afya nchini
Top Stories March 23, 2023
Mohammed Hussein afunguka haya kuhusu kutoitwa kwenye timu ya Taifa, ‘Taifa Stairs’
Sports March 23, 2023

You Might also Like

Sports

Simba SC waingia Mkataba na MobiAd

March 23, 2023
Sports

Simba yaandika historia Ligi ya Mabingwa Afrika

March 22, 2023
Sports

Sheria Ngowi kutengeneza jezi za Zanzibar Heroes kwa miaka mitano

March 18, 2023
SportsTop Stories

Yanga: Fedha za Rais Samia zinaleta ari kubwa

March 17, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?