Michezo

Kutoka Addis-Ababa Ethiopia CAF wameitangaza good news kwa Zanzibar

on

Baada ya chama cha soka cha Zanzibar ZFA kupeleka maombi yao kwa shirikisho la soka barani Afrika CAF kuomba kuwa mwanachama, leo March 16 2017 katika mkutano wa 39 wa CAF wameridhia bila kupingwa Zanzibar kuwa mwanachama kamili.

Zanzibar sasa imepitishwa rasmi kuwa mwanachama rasmi wa CAF na kutokana na kukubaliwa kwa ombi hilo bila kupingwa, Zanzibar anakuwa mwanachama kamili wa CAF wa 55.


ALL GOALS: Simba vs Yanga February 25 2017, Full Time 2-1

Soma na hizi

Tupia Comments