Premier Bet SwahiliFlix Ad Tigo Ad

Top Stories

RC Makonda “Asanteni kwa kunivisha nguo”, amtaja JPM

on

Mkoa wa DSM umeibuka kinara kitaifa katika matokeo ya mitihani ya darasa la saba yaliyotangazwa leo na Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA), RC Makonda ameibuka na kuwapongeza watumishi wa elimu Dar es salaam.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram RC Makonda ameandika nawapongeza sana sana walimu, waratibu kata, maafisa elimu , wazazi pamoja na wanafunzi kwa kuunganisha nguvu na hatimaye tumeongoza katika matokeo ya darasa la saba Tanzania.”

“Asanteni sana kwakunivisha nguo na kumpa heshima Rais wetu mpendwa. Ofisi yangu itaandaa utaratibu wa kutoa zawadi kama motisha na asante kwa kazi wanayoifanya walimu pamoja na wanafunzi. Tumeongoza tena kwa mara nyingine tena.”RC Makonda

MO DEWJI atoa kauli baada ya kupumzika toka aachiwe

Soma na hizi

Tupia Comments